🔷️🔷️ODERO AWAONYA WANASIASA KUACHANA NA MANENO YA UCHOCHEZI

 

Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo  (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles Odero, ametoa wito kwa wanasiasa kuungana pamoja kutafuta suluhisho la kuijenga kwa upya Tanzania badala ya kuendelea kunyosheana vidOdero ameyasema haya Leo April 23, 2025

 alipokuwa akizungumza na waandiahi wa Habari kuhusu maoni yake mara baada ya Ripoti ya Tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ya wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kukabidhi  ripoti hiyo kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.


" Huu sio Wakati wa kuendelea kulaumiana, kusutana na kunyosheana vidole, bali ni Wakati sahihi wa kutumia meza za mazungumzo kujadili namna ya kurejesha tena Umoja wa kitaifa" amesema Odero


Amesema ripoti imeuma pande zote kwa kuonyesha vichocheo vya uvunjifu wa amani hivyo akatoa wiyi kwa wanasiasa kutuoilia mbali maslahi Yao binafsi bali kinachotakiwa ni kuweka mbele kwanza maslahi ya taifa.

Post a Comment

0 Comments