🔷️🔷️TBC YATOA RAI KWA JAMII KUPUUZA TAARIFA YA IDADI YA VIFO OKTOBA 29

 

Kupitia Mitandao ya Kijamii nchini kumekuwa na taarifa potofu na inayoenda kinyume na takwimu halisi zilizotolewa na Mwenyekiti wa Tume huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2026, ikidai kuwa idadi ya vifo vilivyotokana na ghasia hizo ji 10, 518, wakati takwimu sahihi ni Vifo 518.

Shirika la Utangazaji la Taifa TBC kupitia mitandao yake ya Kijamii limetoa rai kwa Watanzania kupuuza taarifa hiyo (kama inavyoonekana hapo juu) kwani haina usahihi na haijachapishwa kwenye majukwaa ya habari ya TBC.

Post a Comment

0 Comments